Nampenda tu, hivi hivi alivyo nampenda tu
Nampenda tu, hivi hivi alivyo nampenda tu...hata iweje nampenda tu.....hata useme hatujafanana...mimi Nampenda tu....I am a Man because of this Angel.......Love u Wema Munisi Mwantimwa...
Kilimo ni moja ya Sekta vijana tumeikimbia kwa muda mrefu
Kilimo ni moja ya Sekta vijana tumeikimbia kwa muda mrefu na kuwaachia wazee na watu wachache sana... hii ni fulsa muhimu sana kama tukianza kuwekeza japo taratibu kipande hii pia... hapa ni Lufiji bado kuna mashamba mengi na yanauzwa bei rahisi tu.... kuna maji through out a year na kunastawi mazao mengi sana... any one interested check nami nikupe contacts za wenyeji huko wakuwezeshe....
UNAWEZA KUWA CHOCHOTE UTAKACHO
Kuna watu nikiwatazama napata Uthibitisho kwamba katika Maisha UNAWEZA KUWA CHOCHOTE UTAKACHO..ukikaa na Masanja.. Street Gospo Ministri akakupa historia yake...unaweza bisha kwamba alikuwa anatembea kwa miguu toka Tabata hadi Magomeni..alikuwa na Funza miguuni na maisha Duni sana...lakini leo ana Nyumba za kueleweka hapahapa Mjini..anchange Cars muda anaotaka.. anasafiri kwa Ndege kama Bajaj vile na amekuwa Msemaji kwa watu mashuhuri sana na Viongozi pia.. lakini ukiwa naye anasema nado kabisa hajafikia malengo yake.... Jichunguze Ndoto na Malengo yako na jipe dakika moja tu...Mwambie Kitu huyu Mchungaji kijana....
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)








