UNAWEZA KUWA CHOCHOTE UTAKACHO

No comments
Kuna watu nikiwatazama napata Uthibitisho kwamba katika Maisha UNAWEZA KUWA CHOCHOTE UTAKACHO..ukikaa na Masanja.. Street Gospo Ministri akakupa historia yake...unaweza bisha kwamba alikuwa anatembea kwa miguu toka Tabata hadi Magomeni..alikuwa na Funza miguuni na maisha Duni sana...lakini leo ana Nyumba za kueleweka hapahapa Mjini..anchange Cars muda anaotaka.. anasafiri kwa Ndege kama Bajaj vile na amekuwa Msemaji kwa watu mashuhuri sana na Viongozi pia.. lakini ukiwa naye anasema nado kabisa hajafikia malengo yake.... Jichunguze Ndoto na Malengo yako na jipe dakika moja tu...Mwambie Kitu huyu Mchungaji kijana....

No comments :

Post a Comment