ni bora tukatumia Nguvu kubwa pia katika kumtafuta Mungu

No comments
Kuna wakati tunatumia Nguvu kubwa sana kusaka Pesa....ila kumbuka Tutaziacha hapahapa Duniani...ni bora tukatumia Nguvu kubwa pia katika kumtafuta Mungu ambaye hatatuacha Milele na milele......

No comments :

Post a Comment